BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MATUKIO YA WATOTO MANISPAA YA MOROGORO.

 Mtoto katika kijiji cha Nyalutanga kata ya Kisaki wilaya ya Morogoro Vijijini akiwa anasukuma toroli lenye ndoo za maji huku mdogo wake akiwa mbele ya toroli hilo mara baada ya kutoka maji katika bomba lililopo shule ya msingi ya kijiji hicho mkoani Morogoro.
 Mtoto akiwa amefungwa kamba katika mtaa wa Jamattini Manispaa ya Morogoro wakati mlezi wake akifanya biashara ndogo ndogo katika mtaa huo mkoani Morogoro.
Mtoto akiwa anacheza nje ya nyumba yao katika kijiji cha Mlale wilaya ya Mvomero.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: