BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA KINANA, NAPE WILAYA YA ULANGA MKOANI MOROGORO

 Mbunge wa Ulanga Magharibi, Dk. Haji Mponda (kulia) akijadiliana jambo na Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha chama Jimbo La Ulanga Magharibi Leo.

Nape Nnauye akiingia kwenye mtumbwi jana eneo la Kivukoni Kata ya Minepa, wilayani Ulanga akiwa katika ziara ya uimarisha uhai chama hicho

 Nape akihutubia mkutano wa ndani wa chama hicho leo katika Kata ya Mtimbila, Ulanga Magharibi
 Kinana akivishwa skafu baada ya kupokelewa katika Kata ya Minepa alipowasili kuhamasisha uhai wa chama katika Jimbo la Ulanga Mashariki leo
Baadhi ya wafuasi wa CCM wakishangilia wakati Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akihutubia mkutano wa ndani katika Kata ya Mtimbila, Jmbo la Ulanga Magharibi.
 Katibu wa NEC-CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwaongoza baadhi ya viongozi wa chama hicho kutoka kwenye pantoni ya Mv Kilombero 1  kutoka Ifakara kwenda wilaya ya Ulanga kuimarisha uhai wa chama hicho leo asubuhi.
 Kinana akizungumza na Mmasai mwanachama wa CCM katika Kata ya Minepa Ulanga leo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: