BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MATUKIO NDANI YA HIFADHI YA WANYAMA TANZANIA.

 Mbwa mwitu wakipiga mahesabu ya kuwavamia pundamilia ambayo nao wakiwa katika mkao wa kujilinda dhidi ya maadui zao, sijui vita hiyo nani alishinda.
Watalii wakiwa katika gari lenye waya huku wanyama hatari kwa binadamu (Simba) wakiwa wamelizengea gari hilo wakati wakitafuta namna ya pita ili wakawadhuru binadamu hao katika moja ya hifadhi ya mbuga zetu za wanyama hapa Tanzania. Imeandaliwa na JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: