BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MLIPUKO ULIVYOTIKISA JIJI LA TEXAS MAREKANI KATIKA PICHA.

http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/04/18/130418065643_waco_976x549_reuters.jpg Mlipuko umetokea katika kiwanda cha kutengeza mbolea karibu na Waco, katika jimbo la Texas nchini Marekani huku idadi kubwa ya watu wakijeruhiwa na wengine kukwama ndani ya kiwanda hicho

http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/04/18/130418052833_sp_texas_fire_explosion_9.jpg
Moshi mkubwa uliokena ukipanda juu kutoka katika eneo la mlipuko. Wazima moto na magari ya Ambulance pamoja na helikopta sita zilionekana zikiwasaidia majeruhi.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/04/18/130418052829_sp_texas_fire_explosion_7.jpg 
 Wazaima moto hapa wakipambana na moto huo karibu na kiwanda hicho. Majengo kadhaa yaliharibiwa vibaya mengina yakiwa katika maeneo jirani.
http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/04/18/130418052747_sp_texas_fire_explosion_2.jpg Wazee waliokuwa katika makao jirani ya kuwatunza wazee, walihamishwa mara moja. Kulikuwa na ripoti kuwa wazima moto walikuwa wanajaribu kuzima moto wakati mlipuko huo ulipotokea.
 http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/04/18/130418052749_sp_texas_fire_explosion_3.jpgUharibifu mkubwa ulitokea kwa makao ya kuwahifadhi wazee. Mlipuko ulitokea nyakati za usiku.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: