Mkazi wa kijiji cha Bwilachini Amina Mnambala akimsuka mwenzake Sauda Nemelagani nje ya nyumba yao mwishoni mwa wiki katika kijiji hicho kilichopo kata ya Selembala wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Picha JUMAMTANDA.BLOG
Konda wa daladala akiwasaidia wafanyabiashara wa kuuza ndizi kubeba tenga lenye ndizi mbivu ili kupakia katika gari yake katika stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa ya Morogoro baada ya akinamama hao kununua ndizi hizo kwa bei ya jumla kutoka kwa wakulima mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment