BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UKITAKA KUONA NGUVU ZA MAMBA INGIA KATIKA MAWINDO YAKE NDANI YA MAJI.

MNYONGE NA MNYONGE WAKE, Tembo akiwa
amekamatwa mkonga wake na mbabe wa majini (MAMBA) aliyekuwa katika mawindo ili kupata chakula wakati kundi la tembo wakinywa maji kwa ajili ya kurekebisha kiwango cha joto mwilini katika moja ya mabwawa ya maji katika hifadhi ya wanyama hapa Tanzania.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: