SHIRIKA la habari la taifa la Uchina linasema kuwa watu 150 wamekufa
katika tetemeko kubwa la ardhi ambalo limeporomosha majengo na barabara
katika jimbo la Sichuan, kusini-magharibi mwa nchi.
Wanajeshi kama 6000 wamepelekwa kwenda kusaidia katika uokozi zaidi
ya kilomita 100 kutoka Chengdu, mji mkuu wa jimbo la Sichuan.
Shughuli za uokozi zinatatanishwa na barabara zilizovunjika na simu zilizokatika.
Waziri Mkuu, Li Keqiang, aliwasili huko haraka kuongoza shughuli hizo.
Tetemeko lilotokea katika jimbo la Sichuan mwaka wa 2008 liliuwa watu 90,000.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment