AKUTANA NA ASKOFU WA CONTEBURI
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania aliyemaliza muda wake
Dkt.Valentino Mokiwa (katikati) akimtambulisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby muda mfupi kabla
ya kuanza kwa ibada ya kumtawaza askofu Mkuu Mpya wa Kanisa hilo hapa
nchini Askofu Jacob Erasto Chimeledya iliyofanyika katika Kanisa kuu la
Roho Mtakatifu Dodoma.
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini aliyemaliza muda wake Dr.Valentino
Mokiwa akimtawaza aksofu Mpya wa Kanisa hilo Askofu Dkt. Jacob Erasto
Chimeledya wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa Kuu la Roho
Mtakatifu mjini Dodoma.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la
Anglikana nchini Askofu Dkt.Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada ya
kumtawaza kuwa askofu Mkuu iliyofanyika katika kanisa Kuu la roho
Mtakatifu, mjijni Dodoma (picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment