Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Nape Nnauye wakisalimia baadhi ya viongozi, baada ya kuwasili Uwanja wa
Ndege wa Iringa asubuhi hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku saba,
mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce
Msambatavangu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wa mkoa wa Iringa. Nyuma ni Nape Nape naye akiwa na wenyeji.
Kinana
akisaini kitabu cha wageni Uwanja wa Ndege wa Iringa baada ya kuwasili
uwanjani hapo asubuhi hii. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,
Joyce Msavatavangu
Nape akisaini kitabu cha wageni BASHIR NKOROMO
0 comments:
Post a Comment