Mama Joshua akipanga vizuri mboga za majani aina ya figili tayari kwa kusubiri wateja,leo katika soko la Mangula,Makambako. |
Soko la Mangula,Makambako mjini Njombe linazidi kuwa maarufu kila kukicha kwa kuuza mboga za majani kwa wingi. Picha na Adam H. Mzee |
0 comments:
Post a Comment