Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu
Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria
Mchungaji Emmanuel Joseph Makala na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo mpya
ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria iliyofanyika jana katika kanisa la
Ebeneza Shinyanga mjini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji
Emannuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu na kuzinduliwa kwa
Dayosisi hiyo katika Kanisa la Ebeneza Shinyanga mjini jana Mei 5,
2013. Katikati ni Askofu Mkuu KKKT Tanzania, Dkt Alex Malasusa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na baadhi ya viongozi wakati wa ibada maalum ya kuwekwa Wakfu
Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria na
kuzinduliwa rasmi Dayosisi hiyo katika kanisa la Ebeneza Shinyanga
mjini.
Maaskofu waliosheresha wakfu huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Askofu mpya wa KKKT
Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph
Makala, baada ya kuwekwa wakfu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa KKKT Tanzania baada ya
kuwekwa Wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa
Victoria na kuzinduliwa rasmi Dayosisi hiyo katika kanisa la Ebeneza
Shinyanga mjini.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / MAKAMU WA RAIS DKT. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment