Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru
Kitaifa kwa kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
leo,(kulia) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Tanzania
Bara,Dk.Fenelle Mukangara,na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya
Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar Mohamed,(kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini
Unguja,baada kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed
Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa baada ya kuuwasha huko
Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,mbele ya maelfu ya
wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.Picha na Ramadhan Othmna,IKULU-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment