Wanajeshi wakitoa adhabu kwa watu waliokiuka taratibu ama kuwakosea wanajeshi hao kama anavyonekana pichani kijana akitumikia adhabu hiyo, hata hivyo mtandao wa jamii wa www.jumamtanda.blogspot.com haikuweza kutambua kisa cha cha kijana huyu na mwenzake kupewa adhabu hiyo tukio ambalo limetokea moja ya nchi za bara afrika.
Picha hii imechukuliwa katika mtandao wa kijamii.
0 comments:
Post a Comment