BOMU LA ARUSHA, WATALII 4,716 WAFUTA SAFARI ZA ARUSHA, WAENDA MOSHI NA NAIROBI
Hii sasa ni hatari sana kwa ajira za vijana wa Arusha hasa madereva tax na wasindikiza wageni !.
Huwa nina kawaida ya kupata breakfast pale metropole na miezi kama hii huwa panajaa sana wazungu pale ndani,lakini ata leo nimeenda wamejaa masai tu.
0 comments:
Post a Comment