DALADALA YENYE NAMBA YA USAJILI T 381 AEB IKIWA IMEHARIBIKA UPANDE WA SITI YA ABIRIA NA MLANGO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA GARI HIYO NA GARI NDOGO KATIKA ENEO LA UYOLE JIJINI MBEYA LEO AMBAPO ABIRIA ZAIDI NANE WALINUSURIKA KIFO.
GARI NDOGGO LIKIWA LIMEJICHOMA KICHAKANI NAADA YA AJALI HIYO.
HAPA LIKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA UPANDE WA ABIRI.
DALADALA LIKIWA LIMEHARIBIKA KWA SEHEMU KUBWA UPANDE WA KUSHOTO.
HUKU NDIKO UPANDE WA DEREVA WA DALADALA HILO.
PICHA ZOTE NA MICHAEL - UYOLE
MBEYA YETU
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment