BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHAMA CHA WASAFIRISHAJI MKOA WA ARUSHA NA KILIMANJARO (AKIBOA) CHASITISHA MGOMO WA USAFIRI.

Kazi kama kawa hapa ni katika makutano ya barabara ya Makongoro jijini Arusha chanzo http://rweyemamuinfo.blogspot.com
Magari yakiwa kwenye Kituo  Kikuu cha Mabasi jijini Arusha leo yakiendelea na kutoa huduma baada ya kusitisha mgomo ulikuwa ufanyike kushinikiza magari aina ya Noah kuondolewa katika huduma ya kusafirisha abiria kua hayana ubora na usalama.   
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: