BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAWA NI VIONGOZI WAKITAFARI JAMBO KATIKA VIKAO VYA MBUNGE.

NCHINI Tanzania wananchi na wanaharakati upinga sana kitendo cha baadhi ya viongozi waliochanguliwa na wananchi kuonekana wamelala (kuuchapa usingizi) sehemu muhimu kama vile Bungeni, na kwenye makongamano ama Mikutano na wakiulizwa majibu yao huwa ni wanatafakali ama anaumwa kama ambavyo iliisha wahi kutokea kwa baadhi ya Mawaziri na wa heshimiwa wabunge sasa Picha zifuatazo zinaonyesha si Tanzania tu kumbe hata nchi jirani pia wanauchapa usingizi a.k.a kutafakali


UGANDA.
HAWA NI BAADHI YA WAHESHIMIWA NCHINI UGANDA WAKIWA WANATAFAKALI.
                                                                      TANZANIA
                                      HAWA PIA NI BAADHI YA WAHESHIMIWA WA NCHINI TANZANIA.

                                                                      ZIMBABWE.
PICHA YENYEWE INAJIELEZA KWANI KUNA HAJA YA KUIPA MANENO EBU IPE MANENO WEWE UNAEITAZAMA BASI. 

  Sasa tujiulize je ni kuchoka na majukumu ya kila siku ama ni kweli kwamba huwa wanatafakali maswala mbalimbali yanayoendelea sehemu husika hama tofauti na hapo wanapokuwa ama ndo kutokuwa makini na kutojali kwamba hapo walipo wanatumia kodi za wananchi wao. 

CHANZO  http://bapromas.blogspot.com

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: