BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAWA NI NI BAADHI YA WATU MAARUFU WALIOJITOKEZA MAZISHI YA ALBERT KENETH MANGWEA JAMHURI MKOANI MOROGORO.

P-FUNK a.k.a MAJANI KUSHOTO NA MHE MBUNGE WA MBEYA MJINI, JOSEPH MBILINYI a.k.a SUGA WAKIBADILISH
ANA MAWAZO MARA BAADA YA MHE MBUNGE KUWASILI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO NA WAFUATIA NI BAADHI YA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI TANZANIA.

 JOHN MAKINI
 T.I.D
 MB DOGG
 JUMA KASSIM NA KUNDI LAKE AKIINGIA JAMHURI.
 AFANDE SELA KULIA NA BONDIA FRANCIS CHEKA (SMG)
 PROFESA JAY KUSHOTO NA T.I.D
 HUYU NDIYE WEMA SEPETU NDANI YA UWANJA WA JAMHURI.
MC KOBA KULIA AKISALIMIANA NA KAKA YAKE FID Q.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: