Msanii
'M 2 the P' ambaye alikuwa na marehemu Albert Mangweha nchini Afrika
Kusini wakati rapa huyo anafariki na yeye pia kuzidiwa hadi kulazwa
katika chumba cha wagonjwa mahututi, alihudhuria mazishi mjini Morogoro jana.
'M
2 the P' ambaye awali naye aliripotiwa kuwa amefariki kabla ya taarifa
hizo kukanushwa, alisema jana kuwa hadi sasa hajui nini kiliwatokea.
Msanii huyo alisema kwamba hakumbuki kilichotokea hadi wakazidiwa na kukimbizwa hospitali wakiwa hawajitambui.
Alisema
pia bado anajisikia anaumwa hadi sasa licha ya kuruhusiwa kutoka katika
hospitali ya St. Hellen Joseph ya Afrika Kusini alikokuwa amelazwa.
chanzo:nipashe.
0 comments:
Post a Comment