ua Dar es Salaam, Tanzania ku-host party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013.
BASH hilo litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....Watu wengi wanajiuliza itakuwaje pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is Mine
0 comments:
Post a Comment