Lakini je ni kweli mwanaume mwenye nguvu zako timamu huwezi kuvunja ungo ?.
Jibu ni rahisi !.
Utafiti umeonyesha wanaume wanaw
eza kabisa kuvunja ungo ila hawataki tu kufanya kitendo hicho mbele ya umma, mwanaume akiukamata vizuri ungo anaweza kuuvunja hata kwa mikono na akishindwa ataukanyagakanyaga kwa miguu lazima ungo utavunjike.
Hivyo basi wanaume wote kwa pamoja tusimame tuseme kwa pamoja ''TUNAWEZA KUVUNJA UNGO bila wasi wasi.
0 comments:
Post a Comment