BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JESHI LA POLISI LATOA ONYO LA KUTOFANYIKA KWA MAANDAMANO YA CUF KWENDA IKULU DAR ES SALAAM, KUMBE SABABU NI.......!

JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limetoa onyo la kutofanyika maandamano ya CUF kwenda Ikulu na endapo watalazimisha kuandamana hatua za kisheria zitachukuliwa.
Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam CP Suleiman Kova amesema Tanzania itakua mwenyeji wa ugeni mkubwa wa kimataifa uliwemo wa ushirikiano kwa manufaa ya wote ambao utauhusisha maraisi 14.
CHANZO ITV.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: