BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAKAMU WA RAISM DK MOHAMMED BILAL AMPOKEA MFALME MSWATI 11 WA SWAZILAND JIJINI DAR ES SALAAM.

Makamu wa rais akimpokea Mfalme Mswati
Wakitembea kuelekea VIP
Akikagua gwaride
Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati II wa Swaziland, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo     kuhudhuria mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote, unaotarajiwa kuanza kesho kutwa.  Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati. (Picha na OMR
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: