BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGAMBO WAFANYA OPERESHENI YA NGUVU NA KUWAZOA MACHANGUDOA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM .


MACHANGUDOA WANAOFANYA BIASHARA YAO SINZA WAKAMATWA-KUMRADHI KWA UKALI WA PICHA.Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria.Ndani ya gari hilo.Heka heka za operesheni ya kuwakamata ilikuwa hivi.Akipanda gari.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: