Kuna tetesi kuwa Ommy
dimpoz arushiwa chupa na mawe jukwaaani dodoma na kushindwa kufanya
show ya kilimanjaro muzik award dodoma.
Wadau wa dom wasema kamwe msanii
yoyote atakaye mdisi msanii wa dodoma awatamkubari kufanya show dom na
watamshusha jukwaani kama walivyo fanya.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment