Juzi, mbunge wa mbeya mjini alitoa tusi zito kwa waziri mkuu wa Tanzania na kudai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbuvu kama yeye..Kupitia account yake ya facebook, Sugu, ambaye ni mbunge wa mbeya amezidi kusisitiza kuwa hawezi kuomba msamaha wala kuifuta kauli yake...
Hii ni post yake facebook:.naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi ?!..
Sina
sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the
end...kwanza 'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni
stupidity-which is lack of knowledge and understanding...
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment