BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AVUNJA REKODI YA KUWA BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI !.

INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwamba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu !.
 
Paparazi wa masainyotambofu.blogspot.com ni nooooma !.
 
Yani amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi !.
 
Hii ilikua ni katika majaribio ya kujaribu mafuta hayo kama yanaweza au laa ?.
 
Ndugu msomaji wangu huwezi amini mlimbwende huyu ni mzungu lakini sasahivi du !. 
 
Haya sasa kwa wakina dada watakaohitaji mkorogo huu bomba wa kukufanya uwe black beauty Endelea kutembelea masai nyotambofu blog siku sio nyingi utakuta tangazo la vipodozi hivyo !. 

Tunakutakia usomaji mwema.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: