BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

STARS ILIJITAHIDI LAKINI IVORY COAST IMEZIMA NDOTO ZA WATANZANIA KWENDA BRAZIL

Kiungo wa Taifa Stars, Mwinyi Kazimoto (katikati) akiwachachafya mabeki wa Timu  Ivory Cost.

Gervais Yao 'Gervinho' (kushoto) akipiga kichwa mbele ya beki wa Stars, Shomari…Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja (kushoto) akisalimiana na Didier Zokora, nahodha wa Ivory Coast.

Gervais Yao 'Gervinho' (kushoto) akipiga kichwa mbele ya beki wa Stars, Shomari Kapombe.
Hekaheka langoni mwa Ivory Coast.
Salum Abubakar 'Sure Boy' akikwaana na Jean Gosso Gosso (kushoto).
Mshambuliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu (kushoto) akimtoka Bamba Souleman (22).
Traore Lacina wa Ivory Coast (katikati) akipiga shuti langoni mwa Stars.
Mashabiki wa Stars.
Mashabiki wa Ivory Coast.
Mabango ya mashabiki wa Stars.
NDOTO za timu ya Taifa ya Tanzania 'Tifa Stars' kucheza fainali za soka za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil imepotea baada ya kulala kwa mabao 4-2 kutoka kwa Ivoary Coast leo. Stars imepoteza mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yamewekwa kimiani na Amri Kiemba pamoja na Thomas Ulimwengu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: