![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivtW-QqEdQCaGKZAWsGuav76AHwSRXpuQw1FGO1NsgBGTf77EUSXtBz21Jm2yuTT7bOIt3oSVVxC63pwI-rz1ORdOef6OQiZc0TICU6VBLPuDDKePzUw0LxCaKeC_O-He5hxOpAZPagz0R/s640/IMG_2546.jpg)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika
Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake leo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjbiTS25p1eCvtigExXq5qyDv9piIruTeNl7wtkr0RIQ4daFolOYwzDagQzLihdiWmJZyh1wTeX_jszWFBf5A51icvomhtWmNDgMHfeZPSycrPl-phyphenhyphenM8AX287QTMct4aRhNvagQoPeRQH/s640/IMG_2575.jpg)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Rais wa Mstaafu wa Marekani
Bill Clinton,(katikati) aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na
ujumbe wake. Kushoto ni Chelsea Clinton,ni Mtoto wa Rais Mstaafu huyo
wa Marekani
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvtlfl2ZRrqtOkGiORlqFqMfSBTwYFO5xbxSNsz7XCYDeEauWyvCLZ6w9beeZ9MjPXy3QH2_9GbBYSni-joKovufOMS2XUlBRyKLGY3AGUbJKrNe3zeuvOsB9706_Lk4xT5FchGWR78Vhr/s640/IMG_2611.jpg)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika
Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMMbSYtsfH_kXeGCNDe0-qEfA1ZphZyKKEjaH90MyDDOVQ2TnO6FHYOLEVoOAckB4i0fOwKgQdwjSNWMVrJ2Ppgg5cCGlEysKN-lCQGXQbX_bIMwrX2oCXMS7Nhd4pn9ze53IeAneIyB_Q/s640/IMG_2680.jpg)
Mtoto wa
Rais Mstaafu wa Marekani Chelsea Clinton,akipiga mpira kama ishara ya
kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara
ya Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,kukagua miradi mbli mbali
katika nchi za Afrika iliyo chini ya ufadhili wa Taasisi yake ya CLINTON
FOUNDATION katika
uwanja wa Amaan leo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguAKFYnd5MwZsQv6oiHi0xlb5prBBDv1F0_poS84IXPwG10mmIWzY-xcuuprmQCc_hmZMhRtzpfFf7bhJXMVE99xntQidWj8lkEQ4x5dBWs-_wD8384TdzhMwTw4nkvyyWniRoSrSnx3fG/s640/IMG_2684.jpg)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani Chelsea
Clinton,baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za
Wachezaji wa Zamani uliofanyika leo katika Uwanja wa
Amaan Studium,(katikati) Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG08IdtBrWzwU0wz8OWsSl3xVCjoct-NI8TtbRLDQs6G_HOlV-33R1ov5ac9w1UyQ2qoQYui0oJ-CebsTqFH5i0_Sqti3LSGVWpVeHJowqaHEo4JOEC049vYnHrS88DnPbOPTnjfFpeN70/s640/IMG_2737.jpg)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, na
Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,wakipata maelezo kutoka kwa
Bruno Mnnen,wakati walipotembelea katika banda la utoaji wa huduma ya
uchunguzi wa Damu ya Maleria pamoja na Vyandarua,(Clinton Health Access
Initiative-CHAI) katika ziara yake Clinton kuangalia miradi mbali mbali
katika Nchi za Afrika,(wapili kushoto) Mtoto wa Rais Mstaafu wa
Marekani Chelsea Clinton
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment