Katia Aveiro ambaye single yake ya kwanza "Boom sem parar" imepata umaarufu mkubwa kwenye mtandao wa Youtube, tayari ameanza kuunda albam yake na watayarish
aji kutoka RedOne huko jijini Madrid - mahala ambapo ndio ameweka makazi yake ya kikazi.
Ronaldo, ambaye jana alipigwa picha akiwa na mwanamuziki J-LO amezungumza kuhusu dili hilo la dada yake na kusema: "Nina furaha sana kwa ajili yake."
Aveiro anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa mwezi ujao jijini Madrid huku albam yake ya kwanza ikitarajiwa kutoka mwezi November. Alisema: "Huu ni mwanzo wa muziki wangu kuwa wa kimataifa."
0 comments:
Post a Comment