Taarifa zilizoifikia Masai Nyotambofu Blog hivi punde kutoka maeneo ya Airpot Jijini Dar Es Salaam ni kwamba MTANGAZAJI maarufu hapa nchini D'JARO ARUNGU ambeye ni mmiliki wa website matata inayotambulika kama http://www.babamzazi.com/Jana baada ya kutoka kazini kwakeTBC Fm, Alirudi moja kwamoja nyumbani kwake kujipumzisha kutokana na
pilikapilika za jiji, Kwa bahati mbaya kama mnavyoelewa mbambo ya familia haswa mke na mume siku hazifanani some time no some time yes! Basi kwa mujibu wa mtu wa karibu alivyoiambiamasainyotambofu.blogspot.com ni kwamba D'Jaro Arungu alivyokwaruzana na shemejietu (Mkewe) Aliamua kujiondokea eneo la tukio na kwenda kutembea bila kujua aendako kutokana na Hasira yaani alivurugwa! Katika matembezi yake yakomea KBC night club njia panda ya Airpot, Mtangazaji huyo alipaki gari yake Aina ya RAV4 na kuingia ndani ya Pub hio akaanza kupata moja mbili tatu, Siunajua tena gambe? Mara akashangaa mang'amung'amu yani asubhi kumekucha gafla bila kuelewa kumekuchakucha vipi?''! Ndipo alipoihirisha zoezi la moja mbili tatu na kutoka nje, Du! inasikitisha sana kwamba alipofika kwenye gari alifungua mlango wa gari lake kama kawaida na kuchomeka ufunguo kujaribu kuwasha hola! Washa tena holaaa! Anashangaa linapiga King'ora yani alam twiu! twiu! twiuuuuuuu!.., Ikabidi azime kwanza kutazama nini tatizo, Mara kutazama akakuta milango ilichonolewa kumbe wezi walishaanza kufanya yao na walifanikiwa kuiba Radio ya gari na traksut ya mazoezi iliokwemo humo, Mbali na hivyo kumbe katika harakati za kukwanyua Radio wezi hao walikata baadhi ya nyaya ambazo zimepelekea gari la mtangazaji huyo kugoma kuwaka.. Masai Nyotambofu Blog ilimtafuta D'Jaro Arungu kwanjia ya simu ya kiganjani kuweza kupata ukweli wa mambo, Kutokana na makelele yaliokwepo katika eneo la tukio ilibidi mawasiliano yao yafanyike kwa njia ya ujumbe mfupi kama mnavoona pale juu.. Jamani kinamama punguzeni hasira kwenye ndoa zenuuuu!!! Mbali na yote Masai Nyotambofu Blog inakupa pole sana ndugu D'Jaro a.k.a Baba Mzazi, Usiofu punguza mawazo ni mitihani tu katika maisha kaka.

0 comments:
Post a Comment