Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kushoto akitembezwa katika vipando vya banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na Kaimu Mkurugenzi DK Izack Kama kulia katika maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Nanenane Manispaa ya Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Haya ndiyo mahin di.
Bendera akijionea vitunguu na matikiti maji katika vipando hivyo.
Hii ndiyo mbona ya majani ya sukumawiki.
Mtama ukiwa umestawi katika vipando vya banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Jengo la banda la Tanga City Council
Hizi ndizo nyanya katika vipando vya jiji la Tnaga.
Bata wakiwa wamepumzika katika banda lao katika eneo la Magereza
Mimea ya kunde ikiwa imestawi katika maonyesho hayo.
Kabechi nayo ikiwa imestawi.
Chainizi nayo ikiwa imependeza kutokana na kupata virutubisho stahiki katika ardhi.
0 comments:
Post a Comment