![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/522554_10152202866375931_1413151481_n.jpg)
WAPENDWA
HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA
MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..
NAKAMA UNAVYOONA JAMAA WAMEKUWA
WAKIFAIDIKA SANA KWA KULIINGIZIA PATO LA TAIFA LAO KWA MTIRIR
IKO WA WATALII WANAOUZURU TAIFA LA UJERUMANI
IKO WA WATALII WANAOUZURU TAIFA LA UJERUMANI
MIMI NINGEPENDA MH RAIS WETU MPENDWA
JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KIPINDI HIKI AFANYE JITIHADA KUBWA YA KUILETA
MIJISU YETU..KISHA MAPATO YANAYOPATIKANA HUKO GERMAN TUGAWANE KWASABABU
HII NI MALI YETU SI YA WAJERUMANI...
0 comments:
Post a Comment