BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS: KONTENA LENYE UREFU WA FUTI 40 LANASWA NA PEMBE ZA TEMBO VISIWANI ZANZIBAR


Kontena lenye urefu wa futi 40 lililojaa pembe za ndovu limekamatwa kisiwani Unguja mchana huu likitokea bandari ya Dar es Salaam.



Mpaka sasa haijajulikana mzigo huo una thamani ya kiasi gani na raia wawili wa Tanzania wamekamatwa kuisaidia polisi

Kwa mujibu wa Waziri Kagasheki, kontena hilo pia linahisiwa kumilikiwa na raia wa China.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: