Hivi
unajua wewe kila siku nakuangalia tuu..... sasa leo nitakuonesha kazi
....... ni kama huyu Tembo alikuwa akiyasema maneno haya.
"Mayoooooooo......
Weeeeeeee....... eyooooo....... nisamehe nakufaaa.".. ni kama Kiboko
huyu alkuwa akimwambia Tembo amsamehe ..
"
Hapa kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa
kichapo cha hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku
anatingisha kichwa.
"
Sasa nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama
mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.
"Tena
waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama
anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee .....
kimbieniiiii..... atawamaliza! !"
Hapa kichapo tuu......Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee......Daily Mail
0 comments:
Post a Comment