KAMA UNA HAMU YA KUCHEKA BASI FUNGUA HII HABARI UKUTANANE NA ALICHOKIANDIKA MCHEKESHAJI MASAI NYOTAMBOFU KUHUSU CHRISTMASS.
WATU wangu wa ngufu apa konye ii maeneo ya Jamani musisangae koona nyumbaangu ena mulango ya gari, Ii mi mejaribu koonja utamu ya kukesa konye gari kuongoja Sikukuu ya kisirimasi efike nikule muchele.
Engerai mimi enasukuru munyasi mungu kofikisa mimi kisirimasi ya mwaka ii salama maana likutana na mutiani mingi sana ndani ya mwaka iiii tangu kisirimasi ya mwaka jana epite..! Aya sasa ni makatienu na nyinyi wasomajiangu mumusukuru mungu ati. wasilamu na wakirisitu ote kwa jumulaaaaa..!!
KWA VICHEKESHO ZAIDI TEMBELEA WEBSITE HII YA masainyotambofu.com
0 comments:
Post a Comment