Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso. Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita. Mzee akiwa ameketi jirani na mambo katika makazi yake. Mamba akiwa amejipumzisha katika makazi ya binadamu
0 comments:
Post a Comment