MBEYA CITY V/S SIMBA SC HAPATOSHI JIJINI MBEYA, WENYEJI WAONGOZA KWA BAO 1-0. mtanda blog 5:05 PM Edit Mshabiki wa klabu ya Mbeya City akiwa na sare ya timu hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kati timu hiyo na Simba SC, Mpaka sasa Mbeya City wako mbele kwa bao 1-0 lililofungwa kwa njia ya mkwaju wa penalti. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment