BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NINI KILISABABISHA MAFURIKO YA MAGOLE-DUMILA MOROGORO ?.

MOJA ya makaravati likiwa imeziba takangumu hali iliyosababisha maji kushindwa kupita kiurahisi na kubomoa kingo za daraja la mto Magole huku ikisitisha usafi wa kutoka Dar es Salaam kwenda Bara kwa siku 2.PICHA/MTANDA BLOG.

Licha ya hali hiyo iliwakumba pia wakazi wa kijiji hicho wakikumbwa na maji ya mafuriki yaliyotokea Januri 22 mwaka huu na kuleta athari kubwa kwa upande wa makazi, miundombinu ya barabara na mashamba.
 Huyo aliokoa kitanda chake cha miti kijiji cha Magole.
 Watoto na uokozi wa begi la nguo.
 Baada ya kukauka baadhi ya nyumba hali ilikuwa hivyo.
 Kitanda kikiwa ndani ya nyumba iliyobomolewa na mafuriko hayo.
 Nyumba ikiwa imeanguka
 Nyingine ni hii.
 Hii ilidondoka hivi.
 Nyumba hii ndivyo ilivyo
 Mtoto akiangalia nyumba hiyo.
Hapa napo pako hivyo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: