HALI YA MJI WA MAHENGE WILAYA YA ULANGA MKOANI MOROGORO ILIKUWA HIVYO, PICHA HII ILICHUKULIWA MAJIRA YA SAA 2 ASUBUHI KATIKA MZUNGUKO WA MAGARI KATIKATI YA MJI HUO JANA AMBAPO WENYEWE HUELEZEA HALI HIYO KUWA NI ILE ZA ZAMANI AMBAYO KWA SASA HUTOKEA MARA MOJA MOJA.PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment