CHUI wakiwa na mtoto wa suala baada ya kumkamata katika moja za mbuga za wanyama hapa Tanzania, swala ni adui mkubwaa wa chui kutokana na kitendo cha kumgeuza kuwa kitoweo chake, hata hivyo haikuweza kufahamika nini kiliendelea katika tukio hilo. MTANDA BLOG.
1 comments:
Watoto wa duma watafanyia mazoezi ya kukimbiza na kukamata mnyama ili kujenga uwezo wa kuwa wawindaji bora pale watakapoanza kujitegemea
Post a Comment