Mfugaji wa jamii ya kimasai, Sambo Lokongaa akisaidiwa na wasamalia wema kumvuta na kumwingiza kinguvu ng'ombe katika kivuko cha mto Kilombero 11 ili aweze kuvuka naye baada ya kugoma wakati akitokea wilaya ya Ulanga kuingia ya wilaya ya Kilombero kwa ajili ya kumuuza mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment