Pamoja
na kumkosa mchezaji wao tegemeo klabu ya Real Madrid jana iliendeleza
wimbi la ushindi baada ya kuifumua Elche kwa mabao matatu kwa moja
katika mchezo uliopigwa mapema jana jioni. Mabao ya Madrid yalifungwa na Illaramendi, Gareth Bale na Isco. HII NDIYO VIDEO YA MABAO YA MCHEZO HUO.
0 comments:
Post a Comment