Katika mchezo huo Sociedad walianza kuliona lango la Barca mapema katika kipindi cha kwanza, lakini Lionel Messi akaisawazishia Barca.
Kipindi cha pili Antoine Griezman akaifungia tena Sociedad, kabla ya David Zurutuza kupigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza.
Real Sociedad 3-1 Barcelona (All Goals) 22... by ourmatch
0 comments:
Post a Comment