Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari akiwania mpira kutoka kwa beki wa Simba Issa Rashid wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa pili uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG
Mshambuliaji wa Simba Amis Tambwe (jezi 17) akipingezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kusawazisha katika mchezo huo kipindi cha pili.
Mshambuliaji
wa Simba SC Amis Tambwe akiwa amedhibitiwa na walinzi wa Mtibwa Sugar
Jamal Simba huku Said Mkopi wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara mzunguko wa pili uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.
Mlinzi
wa Simba SC Harouna Shamte akiwatoka Jamali Simba na Said Mkopi wakati
wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mzunguko wa pili
uliofanyika uwanja wa jamhuri Morogoro.
Messi wa Simba akichuana na Kessy Kidingile.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Aziz Abood (katikati) akifuatilia mchezo huo na wadau wengine wa soka.PICHA/MTANDA BLOG
Messi wa Simba akiwa amelala chini baada ya kufanyiwa madhambi na Kessy Kidingile anayempa pole.
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment