BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MGOMO WA WAFANYABIASHARA KUHUSU ILE ISHU YA MASHINE ZA EFD ILIKUWA HIVI MANISPAA YA MORO


Msusi aliyejitambulisha kwa jina la Asia Kassim mkazi wa Mazimbu Manispaa ya Morogoro akimsuka nywele mteja wake ambaye ni mmoja wa wafanyabiashara wa eneo la soko kuu la mkoa wa Morogoro ambao wengi wao wamegoma kutokana na kuilalamikia serikali kutumia mashine za risiti na kodi za EFD kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ikiwa ni mgomo wa awamu ya pili nchini kutokea. PICHA/MTANDA BLOG.

 
Sehemu ya wafanyabiashara na wafanyakazi wao wakiwa wamekaa katika baraza za maduka yao yaliyofungwa.
Mtaa wa Boma road mkabara na duka la Islam.
Maduka yanayoangalia stendi kuu ya daladala ziendazo nje ya Manispaa ya Morogoro.
 Mtaa wa Boma Road ilikuwa hivi.
 Mtaa wa Madaraka nako maduka.
Mtaa wa Luna.
Mtaa wa Luna jirani na benki ya NMB.
Mtaa wa Madaraka

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: