MWOMENIKANO WA STENDI LA DALADALA YAENDAYO NJE YA MANISPAA YA MOROGORO PINDI PANAPOKUWA NA MGOMO WA DALADALA.
Wamiliki wa daladala kupitia madereva wao kesho wanatarajia kufanya mgomo wa kusitiza utoaji wa huduma wa kusafirisha abiria kushinikiza serikali kupitia askari wa jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kwa madai kupigwa faini ya makosa mbalimbali.
Kupitia kwa Mwenyekiti wa madereva wa Daladala Manispaa ya Morogoro Mungi alieleza kwa ufupi kuwa mgomo huo ni kushinikiza serikali kukaa meza moja na kuweza kuangalia namna ya kupunguza ukubwa wa faini ambapo wanadaiwa kulipa kiasi cha sh30,000 hadi sh 120,000 kutokana na kosa moja hutozwa sh30,000.
Panapo majaliwa kesho usisite kutembelea blog yako ya jamii MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment