ZITAMBUE MBINU ZA KUMBIKIZA MGONI WAKO, LENGO NI KUDUMISHA MAISHA YA NDOA IDUMU MILELE NA MILELE.
SIRI ZA KUMKIMBIZA MGONI.
MBINU hii ya kumkimbiza mgoni ili usimfumania husaidia kudumisha maisha ya ndoa japo kimsingi sio jambo zuri lakini inapotokea kutokana na mapungufu ya mmoja wenu huepusha ugomvi ambao hutengenisha ndoa na uhasaba.
Hii ni baadhi ya tabia ambazo zinaweza kutumiwa ambazo ziliwahi kutumiwa na mababu zetu na ndoa zao kuendelea kudumu si kwamba wao hawakupitia tabia ya kuibiana.
0 comments:
Post a Comment