APPLE.
MAMBO YA KUFANYA NA KUZINGATIA.
1. Kunywa maji ya uvuguvugu dk 10 kabla hujala mlo wowote.
2. Kwa anayeweza, pata tunda aina ya apple dakika 5 baada ya kunywa maji ya uvuguvugu, zikipita dakika 15 baada ya kula tunda la apple (yaani dakika 15 baada ya kunywa maji) ndipo upate mlo.
4. Usinywe maji ya baridi, kwani yanachangia kugandisha mafuta mwilini.
Ni mambo madogomadogo sana hufanya kutotendea HAKI miili yetu.
HIVI NI VYAKULA VINAVYOSABABISHA UNENE NA MAFUTA MENGI MWILINI MWA BINADAMU NI.

1. Ngano iliyokobolewa (mkate, chapati, maandazi, nk)
2. Wali mweupe
3. Ugali uliokobolewa
4. Mafuta ya kula (kupikia)
5. Sukari ya kuzidi (ice cream, sukari yenyewe ikizidishwa kwenye kinywaji cha aina yeyote)
(Ukiamua ndani ya wiki mbili unapunguza uzito wako kama unaona ni kero kwako).

Frankie G Odomali.
Ni Mwandishi wa Habari.
0 comments:
Post a Comment