BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RUBANI FARIQ ABDUL HAMID YASEMEKANA AMEITOROSHA NDEGE YA MALAYSIA AIRLINES BOEING 777.

 
Nyendo za ndege hizo zinavyokisiwa na wataalam.


Kamera za usalama zikimwonyesha rubani wa ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777, Zaharie Ahmed Shah, kwenye uwanja wa Kuala Lumpur.  
Michoro inayoonyesha njia ambayo ndege hiyo huenda ilipitia kwenda kusikojulikana.  
Mwanafunzi, Firman Siregar, akiwa na wazazi wake, ni mmoja wa abiria 239 waliokuwa katika ndege hiyo yenye orodha ya safari namba Flight MH370.
Rubani Zaharie Ahmad Shah. 
Mwandishi wa habari akichukua picha nyumba ya rubani Fariq Abdul Hamid eneo la Shah Alam, karibu na Kuala Lumpur.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: